Wednesday, April 16, 2014

Diamond Platinumz Akiri Kuwa Baba Wa Mtoto Mmoja Katika Interview Nchini Nigeria.

Diamond
Habari mpya kwasasa inayosomwa bara la Afrika na hata nje ya Afrika ni kuhusu Superstar wa Bongofleva Diamond Platinumz kuwa baba yaani ana mtoto mkubwa ambaye anatazama cartoon na kuelewa. Kwa mara ya kwanza Diamond amekiri kuwa baba wakati akihojiwa na mtandao wa nchini Nigeria wa Lobatanafrica kitu ambacho watanzania wengi hawakijui. Akihojiwa na mtandao huo Diamond aliulizwa.......

What have you learnt about fatherhood, now that you’re a father(Umejifunza nini kuhusu ubaba kwa muda huu ambao tayari wewe ni baba?)


Fatherhood is a great experience, very humbling. You learn a lot about your children and the kids and the kinds of things they love. For example, my baby loves this cartoon that has a catchy song, I think Ben10. Hahaha

Watu watakuwa wakijiuliza maswali je Diamond kazaa na nani? maana katika wasichana maarufu aliotoka nao akiwemo Wema Sepetu hawajahi kumzalia !. Hata hivyo mwaka jana gazeti la Globalpublishers liliibuka na habari ya msichana mmoja kudai kuzaa na Diamond ingawa Diamond alikana habari hizo na hata dada wa msichana huyo kusema sio kweli msichana huyo alitunga.

Soma interview hiyo ya Diamond na mtandao huo hapa  Diamond Platinumz' interview

 xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx


Filamu kali ya SIO SAWA inaingia sokoni tarehe 24 April 2014 hakikisha unanunua nakala yako halisi.
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment