Photos: Snura Afumwa Kwa Sangoma Akiwa na Tunguli Na Jogoo Akifanyiwa Ndumba.
Snura akiwa kwa mganga
Snura Mushi ambaye ni star wa filamu na muziki nchini amezua habari mpya ya kudaiwa kuwa muumini mzuri wa waganga wa kienyeji a.k.a Sangoma. Kwa mujibu wa Bossngasa blog chanzo kimoja kiliutonya mtandao huo kuwa Snura ana mambo hayo ya kwenda kwa waganga wa kienyeji kila mara. Baada ya kuzipata habari hizo mtandao huo uliweka mtego kwa Snura na ukanasa baada ya kumuona akiwa amevalia tofauti huku mtu mwingine ikiwa si rahisi kumtambua kuwa ni Snura Star wa wimbo wa Majanga. Snura aliingia kwa mganga huyo akiwa amebeba jogoo jekundu na kufanyiwa ndumba kwa mujibu wa mtandao huo.
Sangoma akiwa na Snura
Je unadhani i filamu au video mpya ya Snura au ni kweli?
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pagesSwahili World Planet andBongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment