Pages

Saturday, March 15, 2014

Rose Ndauka Na Slim Omar Wajipa Ubalozi Wa Usafi.

Rose Ndauka akiwa ameambatana na Meya wa Ilala, Jerry Slaa pamoja na baadhi ya wanafunzi na wasanii wenzake kufanya usafi eneo la Mnazi Mmoja ikiwa ni kampeni ya kufanya usafi jiji zima aliyoianzisha kwa kujitolea kuwa balozi wa usafi
Rose Ndauka na star mwenzake wa filamu Slim Omar wakifanya usafi.
MSANII wa filamu nchini Rose Ndauka akiwa na baadhi ya wasanii wenzake pamoja na Meya wa Ilala Jerry Slaa  akifanya usafi eneo la Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, ikiwa ni moja ya uzinduzi wake wa kampeni ya 'Amka Badilika, Nga'risha Tanzania'.

credit: Pro24 blog



Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

1 comment:

  1. Kibinua mgongo changu mie mbutananga si ungeanza na kule kwako tandale huku manispaa ya ilala umeambiwa hatuna mafagio mbutananga umepoteza mvuto sasa unatafuta attention kwa speed ya mafagio au ndio njia rahisi umeona ya kumpata mheshimiwa jerry slaa mbutananga ufisadi wako tunaujua soon utausikia hewani

    ReplyDelete