Picha hiyo hapo chini aliyoiweka star wa filamu Swahiliwood Elizabeth Michael "Lulu" katika mitandao ya kijamii juzi kati imezua maswali na minong'ono kwa baadhi ya mashabiki wake kama Lulu amerudi shule au lah ! maana picha hiyo inamuonyesha Lulu akiwa busy kama mwanafunzi anayejiaandaa na mitihani vile. Baadhi ya mashabiki wake wanadai amesharudi shule kuendelea kuongeza elimu yake huku wengine wakisema alikuwa ana-shoot filamu mpya na wengine wakidai alikuwa anapiga mahesabu ya biashara zake.
SWP inajaribu kumtafuta Lulu ili kumuuliza kuhusu kama amerudi shule au lah !
Lulu akiwa busy na kitabu
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment