Lulu akiwa na jamaa huyo
Monday, March 3, 2014
Lulu Anaswa Akipigwa Mabusu Na Kushikwashikwa Kimahaba Na Mwanaume.
Star aliyejaaliwa kipaji cha kuigiza na mvuto pia Elizabeth Michael"Lulu" amenaswa akipigwa mabusu na kushikwa kimahaba na jamaa ambaye hajajulikana jina lake mara moja. Hivi karibuni ilidaiwa kuwa Lulu kapata mchumba ambaye siye huyo anayeonekana pichani hapo chini kwa hiyo uchumba wake unaweza kuwa hatarini kwani kwa mapozi aliyoweka na jamaa hapo chini inaonekana ni watu waliozoeana.
Lulu akiwa na jamaa huyo
Lulu akiwa na jamaa huyo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment