Kuwa Star Na Mafanikio Sio Lazima Kuwa Na Skendo, Tujiheshimu Wasanii: Nisha
Star wa filamu nchini Salma Nisha amesema kuwa baadhi mashabiki wake wanamshangaa kwa kuwa mtu wa dini baada ya kupata mafanikio kwenye filamu badala ya kufanya skendo kama baadhi ya mastaa wenzake. Nisha amesema kuwa anapenda kuwa mfano kwa wasanii wa kike kuonyesha kuwa usanii sio kujianika na kufanya mambo ya ajabu bali ni kuwa kioo cha jamii ili kuwaonyesha watu wengine kuwa sio sanaa ya wahuni bali ni sehemu ya ajira kama zilivyo kazi nyingine.
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pagesSwahili World Planet andBongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment