|
Slim Omar |
Star wa filamu anayekimbiza na filamu kibao Swahiliwood Slim Omar amesema kuwa baadhi ya mastaa wa kike wa filamu nchini huwa wanajitongozesha na kudai wanajishushia heshima. Akizungumza na GPL star huyo wa filamu za Nikole, Snitch na Waves Of Sorrow alisema "Ni aibu kwa mastaa wa kike, niwasihi waache hako kamchezo maana
kanawashushia heshima mbele ya jamii, wasinichukie, naongea ukweli"
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment