Mwanamuziki superstar wa kike nchini Lady Jaydee ameanza mafunzo ya karate kama picha zinavyoonekana hapo chini. Haijajulikana bado kama mafunzo hayo ni kwa ajili ya project maalum au amependa tu kuujua mchezo huo. Angalia picha hapo chini
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment