Pages

Friday, February 21, 2014

Photos: Je Unajua Kuwa Actress Yuster Nyakachaka Ni Mchezaji Mzuri Wa Ngoma Za Asili !

Yuster Nyakachaka tayari watu wanamjua kama muigizaji wa filamu Swahiliwood lakini pia kwa upande mwingine ni msanii mzuri wa ngoma za asili akiwa nafanya kazi na kundi la Dar Creators. Angalia picha hapo chini unjionee mwenyewe..........

Yuster akionyesha uwezo wake wa kucheza ngoma za asili
                                     Yuster watatu kutoka kushoto akiwa na wasanii wenzake


                                  Yuster akiwa mzigoni na wasanii wenzake

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment