Yuster Nyakachaka tayari watu wanamjua kama muigizaji wa filamu Swahiliwood lakini pia kwa upande mwingine ni msanii mzuri wa ngoma za asili akiwa nafanya kazi na kundi la Dar Creators. Angalia picha hapo chini unjionee mwenyewe..........
Yuster akionyesha uwezo wake wa kucheza ngoma za asili
Yuster watatu kutoka kushoto akiwa na wasanii wenzake
Yuster akiwa mzigoni na wasanii wenzake
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment