Saturday, February 15, 2014

MALARIA YAMSUMBUA SHASTA.

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Shasta hayuko vizuri kiafya kwani tangu juzi anasumbuliwa na malaria. Hata hivyo muigizaji huyo ambaye amejizolea umaarufu kwa kuigiza kama jini katika filamu nyingi amekunywa dawa na anaendelea vizuri kwasasa.

Shasta alivyo sasa baada ya kupatwa na malaria
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment