Saturday, February 22, 2014

GABO NA WEMA SEPETU NDANI YA FILAMU MPYA.

Gabo Zigamba na Wema Sepetu wataonekana katika filamu mpya ambayo inaandaliwa sasa chini ya Endless Fame inayomilikiwa na Wema Sepetu. Akizungumza na Bongo5 Gabo alisema "kuna kazi ya filamu tunafanya mimi na Wema ambayo ipo chini ya Endless Fame Films kwa hiyo ni ya Wema, Wema alinitafuta akasema tufanye kazi ndiyo ambayo tunafanya"

                                                                Gabo na Wema
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment