Tuesday, February 11, 2014

ALLY DEX LULENDA AFUNGUA KAMPUNI YA FILAMU NA MUSIC NCHINI DENMARK.

Ally Dex Daniel Lulinda amefungua kampuni yake inayojihusisha na utengenezaji wa filamu na video za muziki hasa kwa wasanii wa injili. Kampuni hiyo ambayo ipo Denmark anakoishi msanii Ally inaitwa T.A.O Video Production. Ally ni actor, editor, director, writer, producer na pia cameraman na mwenyewe hupenda kujiita director of directors(muongozaji wa waongozji). Kwa mujibu wa Ally mwenyewe kabla ya kuanzisha kampuni yake alikuwa anafanya kazi na  V.A.D Production ya hukohuko Denmark na alifanya kazi nyingi na VAD akiwa kama actor, writer, editor, producer,director na cameraman. Pia amefanya kazi na wasanii wa injili kuanzia 2011-2014 kwa kuwatafutia location, kushuti, kuhariri na kuongoza video.

Akizungumza na Swahiliworldplanet Ally anayedaiwa kuwa msanii mtanashati kwa wasanii wa kiswahili Denmark alisema...........

"The opening of a new company called T.A.O. Video Production ( Together as one V.P) helps and Support you in every step you take . T.A.O Video Production ni company mpya ya film na music which was opened in December 2013 , kampuni hii ilianzishwa na watu wa tatu na kwasasa ina members 15. Kampuni  ilianza kuonyesha kazi zake kupitia waimbaji wa nyimbo za injili kama vile Sister Tengeneza J.R na  Dorcas Kahind na album ya sister Tengeneza .J.R itakuwa sokoni mwezi wa tatu so get ready to grab your copy. Very soon .T.A.O company inaandaa kutoa filamu yao ya kwanza ambayo inaitwa 3 Days To Die(Siku Tatu Kabla Ya Kufa), Ni filamu kali sana na ina mafundisho mengi kwa wakristo na ndoa.  Kaa tayari kununua album na movies za T.A.O Video Production. This company has come with power na moto mwingi sana, T.A.O Video Production believes that coming together as one is a beginning; keeping together as one is progress; working together as one is success. Wandugu, wapendwa nawaombeni tuwe wote pamoja kwa umoja ( TOGTHER AS ONE ) for more information Email us : t.a.o.videoproduction@hotmail.com"

                                                         Dorcas Kahind
                       Tengeneza J.R


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news, life styles news and more

No comments:

Post a Comment