Tuesday, January 7, 2014

MUIGIZAJI SELEMBE TOKO ANUSURIKA KATIKA AJALI NCHINI HOLLAND.

Muigizaji wa filamu za Kiswahili nchi za Scandinavia, Selembe Toko juzi alinusurika katika ajali nchini Holland ambako alikwenda na wasanii wenzake kwa ajli ya filamu mpya. Hata hivyo muigizaji huyo hakuumia na picha hapo chini ni wakati wa tukio hilo.

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment