Hemedy Suleimani ambaye ni star wa filamu na muziki nchini amelazwa katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni jijini Dar es salaam baada ya kupatwa na homa kali. Zuhura Gora ambaye ni model/actress na mpenzi wa Hemedy aliyasema hayo wakati akizungmza na
Swahiliworldplanet huku akimuombea kipenzi chake huyo apone haraka. Picha hapo chini inamuonyesha Hemedy akiwa hospitalini
Get well soon Hemedy
Follow us on twitter Swahili World Planet and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and
Nollywood news, life styles news and more
No comments:
Post a Comment