Get well soon Hemedy
Monday, January 13, 2014
HEMEDY ALAZWA HOSPITALINI BAADA YA KUPATWA NA HOMA KALI.
Hemedy Suleimani ambaye ni star wa filamu na muziki nchini amelazwa katika hospitali ya Mount Mkombozi Kinondoni jijini Dar es salaam baada ya kupatwa na homa kali. Zuhura Gora ambaye ni model/actress na mpenzi wa Hemedy aliyasema hayo wakati akizungmza na Swahiliworldplanet huku akimuombea kipenzi chake huyo apone haraka. Picha hapo chini inamuonyesha Hemedy akiwa hospitalini
Get well soon Hemedy
Get well soon Hemedy
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment