Pages

Saturday, December 21, 2013

WASANII WA FILAMU NCHINI KUFANYA MAANDAMANO KESHO JUMATATU KUPINGA WIZI WA KAZI ZA WASANII.

Wakati wasanii wa filamu nchini wakifikiria kurudi kwenye michezo ya tamthilia wameamua kufanya maandano katika mkoa wa dar es salaam siku ya Jumatatu tarehe 23 mwezi huu.
 Akizungumza kwa niaba ya wasanii wenzake Issa Musa maarufu kama “cloud” amesema lengo la maandano hayo ni kupiga kelele juu ya wizi wa kazi za wasanii ili serikali isikie kilio chao na kutoa sheria kali kwa wale wote watakaobainika kuiba kazi zao wakati huo huo jeshi la polisi kanda ya DSM tayari imeisha toa kibali cha maandano hayo.
                                                            credit: Shija

Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment