Friday, December 20, 2013

Original North Dwellerz ft Dee Cee Official Music Video/Audio



Baada ya ukimya wa muda sasa kundi la North Dwellers toka pande za Arusha warudi tena,hapa wakiwa wamemshirikisha Dee Cee.."Huu ni utangulizi tu,tumeshafanya mizigo mingi,kwa sasa hivi mambo yanakwenda,producer wetu John B yupo nyumbani so tumefanya na tutafanya vingi,tayari ngoma inayofuata ishakamilika,itakua out soon,tupo tunachapa kwanza kideo na Nezar wa Digital Media Studios,zaidi na zaidi,kuwa original,kumbuka kesho huanza leo na usiish kwa matukio" anasema Slim Deezy wa North Dwellers

NorthDwellerz ft Dee Cee "Original" Official Music Video original video on you tube
Audio Download kwenda kwenye simu yako: http://mdundo.com/dl/7883
Credits
Song: Original
Artists; North Dwellers ft Dee Cee
A Grandmaster Records Production
Produced by Hadjihandro and John B

No comments:

Post a Comment