Sunday, December 8, 2013

IRENE UWOYA AOMBA ASAMEHEWE KWANI AMESHAWASAMEHE PIA.

Mwaka 2013 ndiyo unafikia ukingoni zikiwa zimebaki siku chache, actress Irene Uwoya ameomba asamehewe kutoka kwa mtu yeyote ambaye alimkosea ndani ya kipindi cha mwaka huu kwani hata yeye ameshawasamehe ambao walimkosea. kupitia mtandao mmoja wa kijamii Uwoya ambaye mwakaa huu ametokea katika filamu nyingi aliandika "“Napenda kuchukua nafasi hii kuomba samahani kwa wote niliowakosea...napia mimi nimewasamehe...nataka nimalize mwaka kwa amani na upendo...nawapenda wote sina kinyongo na mtu...asante Mwenyezi Mungu kwa kunipa nguvu…”


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment