Pages

Wednesday, December 11, 2013

BOB JUNIOR ATAMANI BIBI YAKE ANGEKUWA HAI ILI AFURAHIE MAFANIKIO YAKE.

Bob Junior
Star huyo wa muziki wa Bongofleva kupitia mtandao mmoja wa kijamii ameandika .........

"Roho yaniuma sana nimuonapo bibi yangu katika picha ikiwa kama mjukuu wake wa kwanza kwa sasa dah nipo na mafanikio si haba lakini ndio hayupo duniani nlitamani sana angekuwepo ayaone nayoyafanya mjukuu wake wa kwanza katika familia yetu ya Nanji kwa kweli roho yauma sababu yeye ndie alie kuwa mlezi bora kwangu sina cha kumpa zaidi ya dua nyingi siku ya leo ambayo twamkumbuka ikiwa ni Miaka mitatu tokea alipotutoka Dec 11 namtakia kila jema alipo ameen love u daima my bi latifa...R.I.P Bibi Yangu Kipenzi Bi La...Nalia kwa Uchungu Leo...Allah akuondoshee adhabu za kabri na Akuswamehe Dhambi zako Ameen..."

Bob Junior akiwa na marehemu bibi yake...................


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment