Pages

Wednesday, November 20, 2013

BATULI AAMUA KUWAKUMBUSHA MASTAA WENZAKE WASISAHAU WALIPOTOKA.

Star wa filamu Swahiliwood Yobnesh Yusuph(Batuli) ameamua kuwakumbusha baadhi ya wasanii kukumbuka walipotoka baada ya kuwezeshwa na kufikia walipo leo ili nao wawezeshe wengine au kulipa fhadhila kwa waliowasaidia. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Batuli ameandika..........

"Wasanii tunafanya kazi za filamu asilimia kubwa tunajuana kiundani mno, Tunajuana tulipotoka pia, Wapo wanaonga'ra mpaka leo toka enzi hizo na wapo waliopotea, Kuna baadhi wamenga'ra mpaka leo kwa juhudi zao wenyewe na kuna baadhi wamenga'ra mpaka leo kwa juhudi za kuwezeshwa hapa nazungumzia jinsia zote, Swali kwa nyie mliowezeshwa aidha na wanawake mliokuwa nao au wanaume mliokuwa nao je mnalipa fadhila? Unakumbuka ulipotoka? Unakumbuka aliyekufikisha hapo kwa fedha zake? Umewahi kumtendea mazuri kama aliyokutendea wewe? Au ndio upo katika kundi la wanyanyasaji na dhuluma? Je familia yako inaujua ukweli wa wapi ulikopitia mpaka kufikia mafanikio uliyonayo kwa sasa? Je familia yako inalipa fadhila kwa mlengwa (Aliyekuwezesha)? Leo naomba mkumbuke mlipotoka na mkumbuke Kabla Hujafa Hujaumbika. Rekebisha Ulipokosea"


Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

7 comments:

  1. Dongo la Ray hilo asisahau anaishi kwa hela za Johari na akumbuke aliharibu maisha ya Johari kwa Mackdonald na alipata mtaji kwa Johari sio leo anajitapa na mali za Rj wakati sio zake. Ni mtazamo wangu tu.

    ReplyDelete
  2. Kigosi upooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo? Asilia 100 ujumbe una kuhusu. Mr greatest maviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii rudisha fadhila umekula mkwanja wa johari without johari your nothing.

    ReplyDelete
  3. Acheni uchonganishi hajatajwa ray hapo kawakumbusha wenzie kwa uzuri mashabiki punguzeni uchochezi by the way suala la ray kufika hapo kwa hela ya johari tanzania nzima inajua sasa sioni cha ajabu i am gideon maller

    ReplyDelete
  4. WAPAMBANISHENI TU MAGAZETI YA UDAKU YATAWAMWAGA MTU KATI SASA HIVI HALAFU NIKIWAHI KUSIKIA JOHARI NA BATULI NI NDUGU JE NI KWELI NA KAMA NI KWELI BASI ILI NI DONGO LA RAY ALIPE FADHILA AU MEMA KWA JOHARI SIO ANAYOMFANYIA MARA KAFUMANIWA NA CHUCHU MARA MAINDA YAANI NI KITUKO HIVI WASANII WA KIKE MNAMPENDEA NINI RAY KWANZA FANS HANA HATUMPENDI HAJUI KUIGIZA MAKELELE TU UNAFIKI WAKE NDANI YA BONGO MOVIE WANANCHI TUMEUJUA KWENYE MSIBA WA BABA YAKE WEMA KIUFUPI RAY ANALAANA HAFAI KWENYE JAMII MBWA WEWE RAY ULICHEKELEA KANUMBA ALIVYOKUFA MBONA HUWAKI SASA KAMA YEYE MWANAHIZAYA WEWE NAMSIKITIKIA MAMA YAKO ALIYEZAA NGURUE DUNIANI.

    ReplyDelete
  5. DONGO LIPI kwa kipi KAMA BATULI ALITAKA KUMWAMBIA RAY ANGEMWAMBIA LIVE AMPIGE MADONGO KWA KUMUOgopa NINI AMBENI MASLA HAPA

    ReplyDelete
  6. Na bado naomba batuli umtukane mwanzo mwisho huyo ray ni paka la bar tu. Anonymous hapo juu ni kweli Batuli na Johari ndugu ni mtu na mama yake mdogo nimekujibu iki uone uchungu wa huyu na wa yule

    ReplyDelete