ODAMA JENNIFER KYAKA AFIWA NA BIBI YAKE MZAA BABA.
Star wa filamu Swahiliwood Odama Jennifer Kyaka amepata pigo la kuondokewa na bibi yake mzaa baba Symphorosa Kokutona aliyefariki jana huko Bukoba katika kijiji cha Kilimilile na mazishi yamefanyika leo hii.
No comments:
Post a Comment