Saturday, October 12, 2013

MIMBA YA ROSE NDAUKA SI KIFICHO TENA.

Mimba ya actress Rose Ndauka si ya kujificha tena kwasasa baada ya picha zake mpya kuonekana tofauti na hapo mwanzoni alipokuwa akikataa kuwa hana ujauzito. Hivi majuzi Rose aliyejaaliwa kipaji cha uigizaji alifanya birthday party na ujauzito wake kuonekana wazi kama anavyoonekana pichani hapo chini.




No comments:

Post a Comment