Tuesday, September 17, 2013

UGUMU WA KAZI ZA FILAMU TUNAZOFANYA BADO HAULINGANI NA KIPATO TUNACHOPATA: MTUNISY

Muigizaji maarufu wa filamu Swahiliwood Nice Mohamed(Mtunisy) amesikitishwa na kazi kubwa na ngumu ya utengenezaji wa filamu lakini kipato wanachopata bado hakilingani na uzito wa kazi hiyo. Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Mtunisy Aliandika "Uzito na mashaka ya hii kz ingeendana na kipato tunachokipata wallahi Wasanii tungeweza kuifanyia mengi nchi yetu na kuisaidia jamii zetu kwani nina amini kuwa kati ya family 5 Tz haikosi MSANII"

Muigizaji huyo anatarajiwa kutamba sokoni na filamu zake mpya Who's Bad na Jike Dume akiwa na Jackline Wolper.

                                                                   Mtunisy
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment