Pages

Friday, September 20, 2013

REALITY TV SHOW (IN MY SHOES) YA WEMA SEPETU KUONYESHWA EATV NA SIO CLOUDS TV TENA.

Reality Tv show(In My Shoes) ya Miss Tanzania wa mwaka 2006 na sasa muigizaji wa filamu Wema Sepetu itarushwa rasmi East Afrika Television(Eatv) kuanzia mwezi ujao(October) tofauti na hapo awali ambapo habari ziliandikwa kuwa itarushwa Clouds Tv. Kupitia twitter kituoo hicho maarufu cha Tv Afrika mashariki kimeandika.............
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

No comments:

Post a Comment