Friday, September 13, 2013

RAY C NA ZAMARADI KATIKA BEEF ZITO, ZAMARADI AMPONDA RAY C KWA KUJICHUBUA.

kushoto ni Ray C na kulia ni Zamaradi
Zamaradi Mketema ambaye ni mtangazaji maarufu wa Clouds fm na Clouds Tv kupitia kipindi maarufu cha filamu Take One yupo katika beef zito na mwanamuziki Ray C chanzo kikiwa bado hakijajulikana wazi huku pia Zamaradi akimponda Ray C kwa kujichubua ngozi yake na yeye kusema kamwe hawezi kujichubua kama Ray C. Kupitia mtandao wa Instagram wawili hao wametupiana vijembe na madongo makavu makavu. Soma yote hapo chini

Zamaradi amaeandika "mnaniponda wee lakini mwisho wa siku mnatamani nilipo....Raha kweli....utaishia kuweka picha za uso tu...Daadeki!! kweli ya leo sio ya jana....LOL... you can't break veeeery proud of myself ....na sitajibadilisha kama fulani.....natural all the way baby cheusi mangala mimi"

 Zamaradi aliendelea kwa kuandika hivi
aae8fb521c4a11e3842d22000a1f9ada_7
 


"Huwezi amini sikuchukii ila nimezidi kukudharau!!!! Katika watu wa mwisho kabisa ambao siwezi kupanic nao hata siku moja ni WEWE.. Dont waste your energy.. you have so much to accomplish ndugu.. mi hunipi tabu kabsa, kabsaa, kabisaaaaaaaaa yani sanasana unanichekesha tu na vituko visivyoisha.. lol!! Ila sikulaumu sana sio kosa lako maskini… ungekuwa una akili usingefanya hayo ya kitoto tena hasa KWA KIPINDI HIKI.. na huenda hiyo sio akili yako mwaya.. NIMEKUSAMEHE BURE maana hapo ulipo hujielewi bado.. Dramas Dramas Dramas… sizipendagi ila huwa zinanifata zenyewe.. lol!!! Mbona naandamwaga hivi jamani kwani kosa langu nini mimi mtoto wa watu… hahahahahaaaa majanga haya @wemasepetu anyways sorry to my good people jamani kwa mapost ya aina hii.. sometimes inabidi coz mwisho wa siku mi ni binaadamu tu wa kawaida.”
Wema naye aliongeza kwa kuchangia: Mbona majanga….. don't waste ur tym to fools maamy…. nawe utaonekana a fool… fanya yako… wanaokufatilia wanatamani wawe kama wewe… na si kingine its called ENVY.”
“Sina hata time nae mammy bado ana vichembechembe kwenye ubongo.. maana ghafla tu anaanza kuniparamia jamani.. lol!!! Kishafulia anatafuta kick kwa kugombana na watu.. mtu wa zamani,” aliongeza Zamaradi.
Japokuwa Zamaradi hakutaja wazi nani mlengwa wa ujumbe huo, Lakini ni Ray C mwenyewe ndiye aliyejibu kwenye maelezo ndani ya post yake kwenye mtandao huo akisema:
“Hihihi kazi kwelikweli mi naweza posts zangu watu wanajihisi au wanaumia. Tatizo skuliiiii shauri yako #uki skuli kidogo wala matatizo hakuna ila kama huja skuliii mweeeh unakua mbulula mama we hujui fanya yako achana na watu weusi,” aliandika Ray C.
Aliongeza tena, “Haswa anajiona kichwa kumbe mbulula haswaa Hana lolote,Watu wameanza shughuli hizo anazofanya wenzie tulishazifanya kitambooooooooo,tushauza sura sanaaaaaaaaaa zaidi ya miaka. 12 namuangalia simmalizi maana haeleweki.”

Haukuishia hapo, Zamaradi aliongeza tena kwa kuweka post mpya.

886c292a1c5c11e383d722000a1f99fc_7
“Nashusha sana hadhi yangu kwakweli dealing with watu wenye hasira na maisha ya watu wengine… this is not ME kabisa. Una mengi ya kutukaniwa lkn mi ni binaadamu ninaejua baya na zuri.. maisha yashakushinda wewe sasa USIPANIC.. jipange. Ushafanywa yote ya dunia ntakuweza wapi mie mtu wa zamani,” aliandika Zamaradi kwenye picha hiyo.
Ray C alijibu kwa kupost video tumeshindwa kuiweka video sababu ya mtandao kusumbua.

Tutakuletea zaidi kitakachoendelea kati ya mastaa hao wawili...




Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new

No comments:

Post a Comment