Pages

Sunday, September 8, 2013

MUIGIZAJI WA FILAMU ZUHURA MAFTAH(MALISA) AFARIKI DUNIA.

Habari zilizotufikia ni kuwa muigizaji wa filamu nchini Zuhura  Maftah ambaye wengi wanamjua kama Malisa amefariki dunia. Bado hatujajua kilichosababisha kifo cha muigizaji huyo lakini tutakuletea updates zaidi.

Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi, amen

                                                    Malisa

 Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood new

No comments:

Post a Comment