Mrembo Happiness Watimanywa kutoka Dodoma ameshinda taji la Miss Tanzania 2013/2014 baada ya kuwabwaga warembo wenzake 29. Kwa ushindi huo Happiness amejishindia zawadi ya gari aina ya IST na Tsh. millioni 8. Nafasi ya pili imechukuliwa na Latifa Mohamed na nafasi ya tatu kuchukuliwa na Clara Bayo.
kutoka kushoto ni Latifa Mohamed aliyeshika nafasi ya pili, katikati ni Happiness Watimanywa aliyetwaa taji na mshindi wa tatu ni Clara Bayo
|
the top 5 |
The top 10
images by:
Michuzi Blog
No comments:
Post a Comment