Pages

Thursday, September 19, 2013

DIAMOND AKISAFIRI HUWA NAUMWA JAMANI: VJ PENNY

Penniel Mungilwa(Vj penny) ambaye ni mtangazaji wa Dtv amesema kuwa mpenzi wake Diamond Platinumz ambaye ni mwanamuziki superstar afrika mashariki anaposafiri huwa anaumwa kwa kuwa nae mbali. Penny ameyasema hayo huku Diamond akidaiwa kuwa nchini Malaysia kwa ajili ya kupiga show. Akizungumza na thesuperstarstz Penny alisema "Kiukweli hakuna wakati mgumu na huwa naumwa kama diamond akisafiri yaani huwez  amini nimemzoea sana bby wangu jamani"

                                               Vj Penny
Follow us on twitter Swahili World Planet  and Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, beauty, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news.

8 comments:

  1. wee nae kwa kujishaua tu hujambo wenzio tushamegwa sana na huyo Domo lkn hatukutangaza .

    ReplyDelete
  2. nimekupendajee anonym hapo juu PENNY mashauzi yamemjaa sana hajui wengne tupo kwenye folen khaa! kajitu kenyewe kafupi ka nin

    ReplyDelete
  3. Acheni wivu mutu wa na mupenzi yake, tafuteni wenuuuu wakuache ulaleeeeeee mumy #Penmond

    ReplyDelete
  4. Wema na diamond ndo wanapendana kweli we nepy tuliza mshono

    ReplyDelete
  5. kumbe na wewe unajikoboa ,looo

    ReplyDelete
  6. Hivi wanadamu wakoje?!!! kama nyie mko kwenye foleni mnamegwa na huyo Diamond, hajataka kuwaweka hadharani kwa sababu anampenda Penny, yani meneno ya wakosaji Bwana, yani mpaka mseme ubaya wa mtu ndio muone raha loosers nyie!! hamna maendeleo kabisa katika akili zenu hebu waacheni watoto wa watu wale maisha mnatukera na uswahili. Diamond and Penny Big up tunawaombea Mungu mfike mbali hakuna cha wema wala nani hapa.

    ReplyDelete
  7. nani kanuna penny Kwa kusikia Birthday kalazwa

    ReplyDelete