Pages

Friday, August 16, 2013

WANAUME WANAOHONGA SANA NI KIPAJI: JACKLINE WOLPER

Jackline Wolper mbaye ni actress anayefanya vizuri kwasasa Swahiliwood amesema kuwa wanaume kuhonga ni kipaji kwani sio wote wana uwezo wa kuhonga. Alisema kuwa kuna wanaume wengine huwa wana pesa nyingi lakini hawawezi kuhonga wanawake ila wale wasio na pesa nyingi huwa mabingwa wa kuhonga. Akifafanua juu ya madai kuwa wauza unga wengi Bongo wanaongoza kwa kuwahonga mastaa Wolper aliyejaaliwa mvuto alisema siyo kweli kwani mtu unaweza kuwa na mpenzi mfanyabiashara mwenye pesa nyingi lakini akawa mbahili. "Si kweli kuwa wauza unga ndiyo wanahonga sana wanawake au sisi mastaa, unaweza kuwa na bwana mfanyabiashara na mwingine kaajiriwa lakini huyo aliyeajiriwa akawa ana kipaji cha kuhonga, akakupa hata asilimia 75 ya mshahara wake na yule mwenye pesa nyingi akawa mbahili, ni kipaji tu" alisema Wolper akizungumza na GPL

                                                        Jackline Wolper
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment