Hiki ndicho kilichoandikwa na muigizaji huyo maarufu anayefanya vizuri kwasasa katika filamu "
"ole
wenu wasambazaji wa movies mnaoajiri wasanii kwenye ofisi zenu, hao
mnaowaweka ni masnitch wanataka kazi zao ndio ziuzwe tu wakati uwezo wao
mdogo, mtaendelea kuangukia pua kila siku, kwa nini msiajiri wataalamu
ndio wakague kazi za wasanii? najua mimi sina tabu ila kuna wenye shida
hii pia najua kuwa masnitch watanimaind ila kipaji kanipa mungu halafu
najituma sana hamna wa kunizuia kuwachana, wasanii wezangu hasa wachanga
msikate tamaa mungu ndie kila kitu sina uwezo wa kuwasaidia wote ila
one day yupo atakae ninyooshea kidole ingawa najua kuwa na mimi ni
mwanadamu na si mkamilifu "kwa kuwa hakuna aliyeumbwa anajua" mungu
niongoze nisimame kwenye mstari: ASANTE MUNGU"
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment