Actress Nuru Nassor(Nora) ambaye alijipatia umaarufu mkubwa mwanzoni mwa miaka ya 2000 kupitia kundi la kaole na sasa katika filamu amesema kuwa hapendi wanaofuatilia issue zake za maisha yake binafsi yakiwemo maisha yake ya kimapenzi. Na kwa wale wanaodhani kuwa penzi lake na Geofrey Kusila ambaye pia ni muigizaji wa filamu litakufa basi waandike wameumia. "Wengi sana wananisema, wananifuatilia sana maisha yangu, nawaomba waniache kwani mimi sijazaliwa kwa ajili ya kusemwasemwa. Kwanza
unanifuatilia maisha yangu ili iweje? Kwa nini usifanye yako ukayaacha
yangu. Kupitia hapa najua watakuwa wamenisoma, leo siwataji kwa majina" alisema Nora akichonga na GPL.
Nora na Geofrey Kusila
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies SWP
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment