Pages

Thursday, August 8, 2013

NITAOLEWA MCHUMBA AKIWA TAYARI: PENINA

Penina ambaye ni actress maarufu wa filamu za kibongo amesema kuwa ataolewa pale tu atakapoposwa na kwasasa ana boyfried hivyo bado anaendelea kumuomba mungu ili siku moja aitwe mke wa mtu na kuwa na familia yake. Akizungumza na Swahiliworldplanet muigizaji huyo aliyejipatia umaarufu baada ya kucheza filamu ya Penina akiwa na marehemu Steven Kanumba alisema "kuhusu kuolewa mpaka mchumba awe tayari yeye". Muigizaji huyo ameigiza filamu nyingi na pia nyingine mpya bado zinakuja.

                                                          Penina
 Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment