Paradise ambayo ni Tv show mpya ya actress Irene Uwoya itakayoanza kurushwa leo usiku Clouds Tv licha ya kuwa inahusika na ukarabati wa nyumba za watu zilizo katika hali mbaya lakini mastaa mbalimbali hasa wa burudani watakuwa wakionekana katika kipindi hicho ili kuleta ladha zaidi na baadhi yao ambao wataanza kuonekana ni hawa hapa chini wakiwa katika utengenezaji wa kipindi hicho...............................
Irene Uwoya akiwa location
Irene Uwoya with AY
Uwoya with Mrisho Ngasa
Jacob Stephen(JB)
Steve Nyerere
Like our facebook page Swahili World Planet
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
No comments:
Post a Comment