Pages

Tuesday, August 6, 2013

DIAMOND PLATINUMZ ATENGENEZA VIDEO MPYA S.AFRICA NA FERRARI LENYE CUSTOMIZED PLATES (PHOTOS)

Superstar wa muziki wa Bongofleva Diamond Platinumz yuko S.Afrika akiongeza elimu yake huku bado akiendelea kufanya kazi zake kama kawaida kwa kushoot video ya moja ya nyimbo zake mpya huku akitumia gari aina ya Ferrari ambayo ni miongoni mwa magari ghali duniani. Gari hilo la rangi nyekundu limewekewa namba za mtu binafsi kabisa kwa kuweka jina la Platinumz na Wasafi. Ni wazi kuwa video hiyo ni ghali pengine kuliko zote zilizowahi kutengenezwa na mwanamuziki huyo anayependwa na kulipwa pesa nyingi Afrika Mashariki kwasasa. Angalia picha hizo..........................

Jina lake kabisa ndiyo linaonekana kwenye gari hilo
                                      Jina la Wasafi pia lipo
                                                                    imges by Bongo5

Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment