Actress Aunt Ezekiel amesema kuwa inakuwa vigumu kukaa Dubai na mume wake Sunday Demonte kwa kuwa huwa anategemea kazi zake za filamu ili aishi hasa huku Tanzania. Hivyo akikaa Dubai kwa muda mrefu kipaji chake kinaweza kupotea bure. "Unajua kazi yangu kubwa mimi ni uigizaji ambapo huku Tanzania ndiyo
kila kitu, sasa nikisema nikae Dubai muda wote ni lazima kipaji changu
kitapotea, hivyo nafanya kazi zangu kwa kutengeneza filamu kama tatu,
kisha narudi Dubai kidogo kukaa na mume wangu"
Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp
for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities,
features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news
Changu tu huyu hana lolote.
ReplyDelete