Pages

Tuesday, August 20, 2013

BATULI AWAZODOA MASTAA WANAODANGANYA UMRI WAO HUKU WAKIFANYA BIRTHDAY PARTY KILA MWAKA.

Muigizaji maarufu wa filamu nchini Yobnesh Yusuph(Batuli) amewaponda baadhi ya watu hususani mastaa wa kibongo baadhi yao kudanganya umri muda wote licha ya kwamba wana miaka mingi ila wanataka waonekane wadogo. Baadhi ya mastaa wamekuwa wakifanya sherehe za siku ya kuzaliwa(birthday party) kila mwaka lakini kutaja umri wao halisi inakuwa vigumu na kuishia kutaja tarehe na mwezi waliozaliwa pekee tofauti na mastaa wenzao wa nje. Kupitia twitter Batuli aliandika

"Kuna wale tuliosoma nao darasa moja au kuishi nao mtaa mmoja naomba mnisaidie kuna baadhi ya watu maarufu kila birthday wao wana miaka 23........"

"Kudanganya umri ni utaahira jamani mbona wenzetu wa nje wana miaka mingi na bado warembo? umezaliwa miaka ya 80s unajifanya wa miaka ya 90s ovyo"

"kama umezaliwa 1970-1988 wewe huna udogo waachie wa mwaka 1990 kuja miaka ya sasa wajidai na utoto wao, ujana unaanza kukata kamba jipange" alitweet Batuli

Kama upo twitter basi m-follow hapa BATULI ACTRESS

Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

9 comments:

  1. Bha haaaaa haaaaaa bhwaaaaaaaaah batuli mgomvi wewe watakupiga ila kweli kuna wenzio kila siku wadogi ila wamelala na dunia nzima

    ReplyDelete
  2. Heeeeh heeee heeeeee hiiiiii hiiiii hiiiiii in mzew majuto's voice Funga mwaka hili ni zaidi ya rungu hiiiii hiiiiiiiiiii hiiiiiio hiiiii mastar wasdogo tunawajua ila wengine mxiiiiuuuuuu wamekomaa kama Jaqline Wolper uso tu unaonyesha kimekata miaka Aunt nae anaonekana kabibi. Zulfa wa kariakoo muke ya mwarabu.

    ReplyDelete
  3. Nipo saloon NIMEISOMA HII HABARI KWA SAUTI WATU WOTE WAMEVUNJIKA MBAVU VERY FUNNY BUT ITS TRUE BATULI WASANII WENZIO WAONGO SANA MTU ANALINGANA UMRI NA LADY JAY DEE LAKINI BADO ANAJITIA UTOTO OVYO SANA NORA umepasua. Diana saloon mikocheni

    ReplyDelete
  4. Ushamba wao tu kwanza wanaume hawataki wanawake wadogo ni pasua kichwa

    ReplyDelete
  5. Super woman keep it up madam Batuli: Jalia Jamil

    ReplyDelete
  6. Ohoooooop kazi hiyo kumbe vibibi vinajitia wadogo ebo hawafai hao batuli wamwage

    ReplyDelete