Pages

Thursday, August 8, 2013

COLETHA RAYMOND, SHIJA, THECLA MJATA KUTIKISA SOKONI NA FILAMU YA USIKU WA GIZA.

Filamu ya Usiku Wa Giza ambayo yupo muigizaji maarufu nchini Coletha Raymond inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu. Ukiachilia mbali Coletha waigizaji wengine wa movie hiyo ni Deogratiaus Shija, Thecla Mjata na waigizaji wengineo.

                                                                     Coletha
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment