Pages

Tuesday, August 13, 2013

BATULI AWACHANA WASANII WANAOJIITA MAJINA YA WATU MAARUFU WA NJE.

actress anayefanya vizuri kwasasa katika filamu Yobnesh Yusuph(Batuli) ameamua kuwapa makavu baadhi ya watu wanaotumia majina ya watu maarufu wa nje hususani baadhi ya wasanii wa Bongo. Muigizaji huyo amewataka wajiamini na kutumia majina yao wenyewe ili pia yakue kama ya hao wa nje huku akiweka wazi kuwa kutumia majina ya watu maarufu wa nje ni utumwa. kupitia twitter Batuli aliandika "unavyojiita majina ya wasanii wa nje unategemea lako litakuwa lini?, lipende jina lako, likuze, acha utumwa wa kimawazo, jiamini utafanikiwa"

kama wewe ni shabiki wa star huyo basi m-follow hapa BATULI ACTRESS katika twitter

Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

4 comments:

  1. Mlimbwende wetu huna mpinzani brain yako ipo hai hutoi pointless mdomoni mwako i'm Minnah Maguku

    ReplyDelete