Pages

Thursday, August 15, 2013

ACTRESS SALMA JABU(NISHA) AAMUA KUWA MSUSI.

Actress Salma Jabu(Nisha) huwa sio mtu wa kuremba na kuleta usistaduu linapokuja suala la kazi na kuingiza mkwanja(pesa). Kupitia mtandao mmoja wa kijamii Nisha anayemiliki kampuni ya filamu ya Nisha's Film Productions ameamua kushare picha akionyesha ujuzi wake wa kusuka katika Saloon yake mpya aliyoifungua hivi karibuni maeneo ya Sinza Madukani jijini Dar es salaam. "Kazi kwangu ndio msingi wa maisha nipo saloon yangu nawajibika" aliandika Nisha

Like our facebook pages Swahili World Planet and Bongomovies swp for more updates about Swahili movies latest news, gossip, celebrities, features, fashions, music plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment