Pages

Saturday, July 13, 2013

SIPENDI KUFANYA DHAMBI NAJITAHIDI KUWA MSAFI NA KUMCHA MUNGU: RAYUU

Muigizaji wa filamu Swahiliwood Rayuu amesema kuwa katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani anapenda kumcha mungu na hapendi kufanya dhambi kabisa licha ya watu wachache kutaka aonekane mbaya mbele ya jamii. Akichonga na Swahiliworldplanet alisema "Mh... Cpendi kufanya dhambi kabisaaa ndo maana mwz wote najitahidi kuwa msafi na kumcha mungu. Msafi kimatendo ingawa ck zote matendo yangu ni masafi bali tuh wachache ndo hunifanya nionekana mbaya"

No comments:

Post a Comment