Tuesday, July 30, 2013

BATULI AMBWAGA IRENE UWOYA.

Juzi tuliweka post ya kuwapambanisha Irene Uwoya na Yobnesh Yusuph(Batuli) ambao wote ni mastaa wa Swahili movies. Katika mpambano huo tuliuliza nani zaidi katika urembo, fashions na suala zima la kuigiza bila kujali umaarufu wao wala wingi wa filamu walizoigiza. Watu wengi wameisoma post hiyo na wengine kutoa maoni yao moja kwa moja. Hivyo tumewaletea mrejesho na kwa mujibu wa wasomaji wetu Batuli ndiyo zaidi kutokana na comments mbalimbali zilizotolewa na baadhi ni hizi hapa chini.................

Anonymous: Batuli

Anonymous: Batuli no1 sababu ni 1 tu havai nusu utupu

Janeth Kiwia:  Irene zamani siku hizi kawa mzee, Batuli ni mama wa watoto 2 halafu bado anadai wajipange sio muangaliaji sana wa film za kwetu but my side Batuli zaidi. I'm Janeth Kiwia

Anonymous:  Uwoya moto karibu njombe

Samira:  Irene acheni upendeleo kwani akivaa nusu uchi mwili wenu? SAMIRA

Anonymous:  Irene anaongoza huyo Batuli simjui msinichambue bureeeee namjua ila irene 1

Anonymous:  Shukuru umejisalimisha tungekunawa hadi ujute natembea sana ndani na nje ya nchi batuli anapendwa sana muulize shilole kaja USA aliambiwa nini kuhusu batuli arakujibu salute kwako batuli. Samira

Anonymous:  Batuli usilewe sifa

Anonymous:
Nimeanzia kanisani la sivyo ningemwaga lugha mbovu mwanzo mwisho. Naanza kwenu nyie mnaotoa kura kwa uwoya ni kura zipi? Za uhuni au za kukaa naked kila siku? My vote goes to Queen of Bongo Movie Batuli. Naomba muangalie nyakati kila mtu na wakati wake, Uwoya alilewa sifa kikazi kashuka kama Aunt Ezekiel cha msingi ni kukubali kuwa kwa sasa Batuli ndio anakuja mimi ni shabiki # 1 wa Aunt lakini penye ukweli nasimama kwenye ukweli Batuli zaidi angalia picha zake kwenye Bad luck she is hot.

Anonymous: Ba2li

Anonymous: Uwoya.no 1..aliyewaambia batul avai utupu nani? Huwa anaweka picha istagram kinguo cha ajabu na mikao ya asara asara wadau wakianza kumponda anatoa fasta

Anonymous:  Namba 1 Batuli nyie mnaosema anaweka picha mbovu wanafiki wakubwa nimepitia mbona hana huo mkao qa hasara? Acheni wivu mpe mtu haki yake sasa kabisa kiakili leo kaka yako akuletee mawifi 2. Batuli na Uwoya utamchagulia uwoya? Pxiiiiiiuuuuuuuuw peleka shombo huko uwoya changu, mvaa ovyo, mwanamke aliyethubutu kuvunja ndoa yake kwa mikono yake 2 huyo nae ni wa kumshindanisha na mtu? Hapa tunachangia Kuanzia kwenye Kazi + Urembo + Tabia kalagabaho Uwoya atafutiwe wa kushindana nae labda Aunt Ezekiel. Samira

Anonymous:  She is a good actress to me, who???????? Batuli batuli batuli batuli batuli batuli

Kama hukubahatika kusoma habari hiyo basi isome hapa na kusoma comments nyingine Nani zaidi: Batuli or Irene Uwoya
                                                                    Batuli
Like our facebook page Swahili World Planet for more updates about Swahili movies' latest news, gossip, celebrities, features, fashions plus Hollywood, Bollywood and Nollywood news

No comments:

Post a Comment