Pages

Friday, June 28, 2013

KAJALA ANYOA UPARA KWA AJILI YA FILAMU YAKE MPYA.

Actress Kajala Masanja amenyoa kipara tofauti na miezi ya karibuni alivyokuwa akionekana na nywele nyingi hasa za bandia. Kajala amesema kuwa amenyoa upara kwasababu ya filamu yake mpya inayokuja ambayo character yake imemtaka awe hivyo. Filamu hiyo inaitwa Heart Attack na mmoja wa mastaa wengine ni Hemed Suleiman. Hata hivyo kajala amekuwa akinyoa style hiyo mara kwa mara na filamu zake kadhaa alizoigiza anaonekana akiwa na upara. Hot or not?...........


1 comment:

  1. Looooh shepu yake kama mwanaume vile unaweza kusema shoga katia makeup.

    ReplyDelete