Pages

Friday, June 28, 2013

CHUCHU HANS AIONYESHA TATTOO YAKE ALIYOJICHORA KIUNONI.

Muigizaji maarufu Swahiliwood Chuchu Hans ameamua kuionyesha live tattoo yake iliyochorwa maeneo ya kiunoni. Kujichora tattoo imekuwa fashion maarufu hasa kwa mastaa wengi duniani na baadhi ya mastaa wa kike wa filamu hapa nchini wenye tattoo ni pamoja na Kajala, Irene Uwoya, Jackline Wolper and Wema Sepetu.Angalia tattoo ya Chuhu Hans...............


No comments:

Post a Comment