Pages

Tuesday, June 25, 2013

JACKLINE WOLPER: MIMI NI STAR NINAYEJITAMBUA.

 A-list actress in Swahiliwood Jackline Wolper amesema kuwa yeye anajitambua kuwa ni star hivyo anahakikisha anaijali afya yake kwa kufanya mazoezi gym ili kuuweka mwili wake fit. Speaking with Swahiliworldplanet Wolper ambaye ni star asiye na makuu aliongeza kuwa anakula mboga za majani kwa wingi na matunda ili kuwa na afya nzuri kitu ambacho ndiyo kinamuongezea urembo alionao. Wolper is one of the most beautiful and sexiest actresses ever to grace the Swahili movies screen.


1 comment:

  1. Kama umeamua kuandika kiswahili tumia hicho tu mwanzo mwisho na sio kutuchanganyia lugha.

    ReplyDelete