Tuesday, June 25, 2013

ACTRESS SHAMSA FORD IN A STRICT DIET AND GYM TO LOSE WEIGHT.

Kwasasa inaonekana mastaa wengi wa Swahiliwood wanaanza kuwa makini na body shape na muonekano kwa ujumla ili kuwa na mvuto mbele ya kamera na hata kwenye events mbalimbali wanazohudhuria. Wengi wanaingia Gym kufanya mazoezi na kufanya diet kama mastaa wenzao wa nje hasa Hollywood na Bollywood. Shamsa Ford ni mmoja wao kwa kuamua kuanza kuingia gym kufanya mazoezi ili kupunguza mwili wake. Baadhi ya mashabiki wa actress huyo mwenye kipaji walikuwa wanajiuliza kwa muda mrefu kuhusu Shamsa kujiachia kunenepa tofauti na alivyokuwa wakati anaanza kuonekana kwenye movies.

 Swahiliworldplanet iliamua kumtafuta Shamsa aliyetamba na filamu kibao kama Crazy Love akiwa na Kanumba na Hemed Suleiman, muigizaji huyo alifunguka kwa kusema kuwa yupo kwenye mazoezi na diet kali ili apungue uzito kwakuwa hata yeye haupendi mwili wa ubongenyanya, hivyo fans wake watarajie kumuona katika more glamorous look muda si mrefu "Nipo in a very serious diet na mazoezi y nguvu gym...nitapungua coz hata mimi sijipendi". Ni takribani miezi sita tangu ajifungue mtoto wake hivyo hata ujauzito pengine ulisababisha aongezeke.




No comments:

Post a Comment