Wednesday, June 19, 2013

ACTRESS RACHEL HAULE KATIKA HOT MIX YA CHANNEL 5 LEO JIONI, ATAZUNGUMZIA KAZI ZAKE KAMA MUIGIZAJI, CHANGAMOTO NA MAFANIKIO.

Leo jioni katika kipindi cha "Hot Mix" kinachorushwa Chanel 5 mmoja wa mastaa watakaohojiwa ni actress maarufu nchini Rachel Haule. Rachel atazungumzia safari yake kama muigizaji, changamoto alizopitia mpaka kumiliki kampuni yake binafsi ya kutengeneza filamu hivyo usikose kumshuhudia live muigizaji huyo.


No comments:

Post a Comment