Rachel Haule anakuja na filamu yake aliyoandaa mwenyewe kwa jina la Vannesa In Dilemma ikiwa imetengenezwa na kampuni yake ya RASA FILMS COMPANY. katika filamu hiyo pia yupo Haji Adam(Baba Haji), Sandra na Simon Mwapagata(Rado). Look at photos from behind the scene of the film..............
No comments:
Post a Comment