Wednesday, May 29, 2013

P.FUNK MAJANI APIGA MARUFUKU CLOUDS FM KUPIGA NYIMBO ZOTE ZA NGWEA ZILIZOREKODIWA BONGO RECORDS.

P. Funk Majani producer mwenye mchango mkubwa katika muziki wa bongofleva amesema kuwa Clouds fm wasipige nyimbo zote za marehemu Albert Mangwea ambazo zimerekodiwa Bongo Records inayomilikiwa na producer huyo. Amesema kuwa mengi zaidi atayaeleza muda si mrefu. Ili kusoma zaidi habari hiyo ingia hapa www.djchoka.blogspot.com


No comments:

Post a Comment