LADY JAYDEE, MWANA FA, KIKOSI CHA MIZINGA, IZZO BIZNESS WAAHIRISHA SHOW ZAO KUFUATIA KIFO CHA NGWEA.
Kufuatia kifo cha mwanamuziki Albert Mangwea wanamuziki kibao kama vile Lady Jaydee, Kikosi cha mizinga, Izzo Bizness, Mwana FA na wengineo wameahirisha show zao ambazo zilitakiwa kuwa wiki hii ili kuonyesha heshima kwa mwanamuziki mwenzao.
No comments:
Post a Comment